Tunauza vifaa vya kisasa vya diagnostics, automotive software na vifaa vya ECU programming.
Tunauza vifaa vya kisasa vya diagnostic, software za magari na vifaa vya ECU programming.
Bidhaa zote ni halisi kutoka kwa wasambazaji wanaotambuliwa.
Tunasafirisha bidhaa katika Tanzania nzima.
Tunafundisha jinsi ya kutumia bidhaa uliyonunua.
Msaada wa kiufundi baada ya ununuzi bila malipo.